Wed, 5 Jun 2024
Chanzo: www.tanzaniaweb.live
Kocha Mkuu wa Klabu ya Yanga, Miguel Gamonda amefunguka baada ya kuiongoza timu hiyo kushinda fainali ya Shirikisho juzi kwa penalti 6-5 dhidi ya Azam FC.
gamondi amesema kuwa ni muda wa kwenda nyumbani kwao nchini Argentina sasa kwa ajili ya mapumziko baada ya kufanya vizuri msimu huu.
“Msimu ulikuwa ni mrefu na mgumu. Nahitaji kwenda kupumzika sasa. Nina furaha tumeshinda mataji makubwa, la Ligi Kuu na Kombe la Shirikisho. Naamini hata wazazi wangu mawinguni watakuwa wamefurahi kwa nilichofanya. Nataka kwenda kupumzika sasa nimeimisi familia yangu,” amesema Gamondi.
Chanzo: www.tanzaniaweb.live