Michezo

Habari

Burudani

Biashara

Afrika

Live Radio

Nchi

Kijamii

Lifestyle

SIL

Gamondi Kocha Bora mwezi Februari

Miguel Gamondi Maboa Kesho Kocha Mkuu wa Yanga, Miguel Gamondi

Mon, 11 Mar 2024 Chanzo: www.tanzaniaweb.live

Kocha Mkuu wa Yanga Miguel Gamondi amechaguliwa kuwa Kocha Bora wa Mwezi Februari wa Ligi Kuu ya NBC.

Gamondi ameiongoza Yanga katika michezo mitano ya Ligi kwa mwezi Februari akishinda michezo minne na kutoa sare mchezo mmoja.

Gamondi ameshinda tuzo hiyo akiwapiku Kocha Abdelhak Benchikha wa Simba na Ahmad Ally wa Tanzania Prisons.

Chanzo: www.tanzaniaweb.live