Michezo

Habari

Burudani

Biashara

Afrika

Live Radio

Nchi

Kijamii

Lifestyle

SIL

Gamondi Kimataifa, ndani bado sana

Gamondii Yanga Kocha Mkuu wa Yanga, Miguel Gamondi

Thu, 5 Oct 2023 Chanzo: www.tanzaniaweb.live

Hadi hivi sasa kocha mkuu wa klabu ya Yanga amefanikiwa kuipeleka timu hatua ya makundi Ligi Barani Afrika baada ya miaka 25 kupita.

Lakini kwenye Ligi hajawa na wakati mzuri sana, amepoteza ngao ya Hisani mbele ya Simba na jana Oktoba 5 kapoteza mchezo wa Ligi mbele ya Ihefu.

Anapaswa kuisoma zaidi Ligi yetu, ina mambo mengi sana tofauti na Kimataifa.

Chanzo: www.tanzaniaweb.live
Related Articles: