Michezo

Habari

Burudani

Biashara

Afrika

Live Radio

Nchi

Kijamii

Lifestyle

SIL

Gamondi: Hatuwalaumu marefa, tumeshindwa wenyewe kufunga!

Yangasc 36 Gamondi Gamondi: Hatuwalaumu marefa, tumeshindwa wenyewe kufunga!

Wed, 4 Oct 2023 Chanzo: www.tanzaniaweb.live

Kocha wa Yanga SC, Gael Gamondi amesema hawalaumu waamuzi wa mchezo wao wa leo dhidi ya Ihefu FC bali anawalaumu wachezaji wake kwa kushindwa kufunga.

Amesema, amechukizwa na matokeo hayo lakini ndio mpira hivyo wanajiandaa na mchezo ujao.

"Hatulaumu marefa kwa ksuhindwa kuamua japo tumeona lulikuwa na matatizo mengi kama wachezaji kupoteza muda, kujiangusha lakini tunajilaumu sisi kwa kushindwa kuweka mpira wavuni," alisema Gamondi.

Mchezo huo wa Ligi Kuu ya NBC uliopigwa katika uwanja wa Highland Estate ulimazika kwa Yanga kufungwa 2-1.

Chanzo: www.tanzaniaweb.live