Michezo

Habari

Burudani

Biashara

Afrika

Live Radio

Nchi

Kijamii

Lifestyle

SIL

Galtier alamba dili Qatar

Christopher Galtier.jpeg Aliyekuwa ‘kocha’ wa PSG msimu uliopita, Christopher Galtier

Fri, 13 Oct 2023 Chanzo: Dar24

Aliyekuwa ‘kocha’ wa PSG msimu uliopita, Christopher Galtier ametangazwa kuwa ‘Kocha’ Mkuu wa ‘Klabu’ ya Al Duhail ya nchini Qatar akichukua mikoba ya Hernán Crespo.

Aliyekuwa ‘kocha’ wa PSG msimu uliopita, Christopher Galtier ametangazwa kuwa ‘Kocha’ Mkuu wa ‘Klabu’ ya Al Duhail ya nchini Qatar akichukua mikoba ya Hernán Crespo. Galtier, mwenye umri wa miaka 57 alishinda taji la Ligue 1 akiwa na PSG lakini alidumu kwa msimu mmoja tu katika ‘klabu’ hiyo.

Chanzo: Dar24