Michezo

Habari

Burudani

Biashara

Afrika

Live Radio

Nchi

Kijamii

Lifestyle

SIL

Gakpo, Nunez waipeleka Liverpool Robo Fainali Carabao Cup

Gakpo X Nunez Stood Gakpo, Nunez waipeleka Liverpool Robo Fainali Carabao Cup

Thu, 2 Nov 2023 Chanzo: www.tanzaniaweb.live

Timu ya Liverpool imefanikiwa kwenda hatua ya Robó Fainali ya Kombe la Ligi England baada ya ushindi wa 2-1 dhidi ya wenyeji. AFC Bournemouth usiku wa Jumatano Uwanja wa Vitality, Bournemouth, Dorset.

Timu ya Liverpool imefanikiwa kwenda hatua ya Robó Fainali ya Kombe la Ligi England baada ya ushindi wa 2-1 dhidi ya wenyeji. AFC Bournemouth usiku wa Jumatano Uwanja wa Vitality, Bournemouth, Dorset. Mabao ya Liverpool yamefungwa na Cody Gakpo dakika ya 31 na Darwin Nunez dakika ya 70, wakati bao pekee la AFC Bournemouth limefungwa na Justin Kluivert dakika ya 64.

Chanzo: www.tanzaniaweb.live