Michezo

Habari

Burudani

Biashara

Afrika

Live Radio

Nchi

Kijamii

Lifestyle

SIL

Gael Clichy: Guardiola alisema timu yetu ni ya vibonge

Pep Guardiola.jpeg Pep Guardiola

Thu, 2 May 2024 Chanzo: www.tanzaniaweb.live

Nyota wa zamani wa klabu ya Manchester City Gael Clichy ameeleza kuwa baada ya Pep Guardiola kuteuliwa kuwa kocha wa City (2016) alikutana na wachezaji wa Manchester City na kuwaambia kuwa wao ni wanene sana.

Nyota wa zamani wa klabu ya Manchester City Gael Clichy ameeleza kuwa baada ya Pep Guardiola kuteuliwa kuwa kocha wa City (2016) alikutana na wachezaji wa Manchester City na kuwaambia kuwa wao ni wanene sana. "Nimejua kuwa nakuja hapa takribani mwaka sasa.Na nilikuwa nawatazama timu yenu imejaa wachezaji wanene tupu." Maneno ya Pep Guardiola akiyanukuu Gael Clichy.

Chanzo: www.tanzaniaweb.live