Michezo

Habari

Burudani

Biashara

Afrika

Live Radio

Nchi

Kijamii

Lifestyle

SIL

Gadiel Michael hakamatiki Sauzi, awapiga bao Orlando (+Video)

Gadiel Michael Kamagi.jpeg Gadiel Michael

Thu, 7 Mar 2024 Chanzo: www.tanzaniaweb.live

Mchezaji wa zamani Azam FC, Yanga SC na Simba SC Gadiel Michael ameendelea kufanya vyema katika klabu ya Cape Town Spurs ya Afrika Kusini.

Gadiel amejiunga na kikosi hicho hivi karibuni akitokea Singida Fountain Gate ns mpaka sasa ameshafunga bao moja na kutoa pasi moja ya bao (Assist) na kucheza tatu kwenye Ligi Kuu ya Afrika Kusini ( PSL).

Dakika 90 vs Amazulu Dakika 90 vs Ts Galaxy Dakika 90 vs Orlando

Mechi: 3 Assist: 1 Bao: 1

Tazama video hapa chini;

Chanzo: www.tanzaniaweb.live