Michezo

Habari

Burudani

Biashara

Afrika

Live Radio

Nchi

Kijamii

Lifestyle

SIL

Gadiel Michael atimkia Sauzi

Gadiel Michael Msg Gadiel Michael

Wed, 17 Jan 2024 Chanzo: www.tanzaniaweb.live

Mlinzi wa pembeni wa klabu ya Singida Fountain Gate FC, Gadiel Michael amejiunga na klabu ya Cape Town inayoshiriki Ligi kuu nchini Afrika Kusini.

Mlinzi wa pembeni wa klabu ya Singida Fountain Gate FC, Gadiel Michael amejiunga na klabu ya Cape Town inayoshiriki Ligi kuu nchini Afrika Kusini. Gadiel Michael amecheza nusu msimu Singida Fountain Gate FC, baada ya kujiunga nao dirisha kubwa akitokea klabu ya Simba ya Dar Es Salaam.

Chanzo: www.tanzaniaweb.live