Michezo

Habari

Burudani

Biashara

Afrika

Live Radio

Nchi

Kijamii

Lifestyle

SIL

Gadiel Michael atambulishwa Sauzi

Gadiel Michael South Gadiel Michael atambulishwa Sauzi

Fri, 26 Jan 2024 Chanzo: www.tanzaniaweb.live

Nyota wa zamani wa Azam FC, Yanga SC na Simba SC, Gadiel Michael Kamagi ametambulishwa kama mchezaji mpya wa klabu ya Cape Town Spurs ya Afrika Kusini akitokea Singida Fontaine Gate FC.

Nyota wa zamani wa Azam FC, Yanga SC na Simba SC, Gadiel Michael Kamagi ametambulishwa kama mchezaji mpya wa klabu ya Cape Town Spurs ya Afrika Kusini akitokea Singida Fontaine Gate FC. Taarifa rasmi ya klabu hiyo almaarufu ‘Urban Warriors’ yenye maskani yake Cape Town, Afrika Kusini imesema “Hakuna Matata na salamu kutoka Tanzania! Mchezaji wa Kimataifa wa Tanzania Gadiel Kamagi ni ‘Urban Warrior’”

Chanzo: www.tanzaniaweb.live