Michezo

Habari

Burudani

Biashara

Afrika

Live Radio

Nchi

Kijamii

Lifestyle

SIL

Gadiel Michael akichafua huko Cape Town - VIDEO

Gadiel Michael Akichafua Huko Cape Town   VIDEO.jpeg Gadiel Michael akichafua huko Cape Town - VIDEO

Mon, 4 Mar 2024 Chanzo: www.tanzaniaweb.live

Kwa mara ya kwanza msimu huu timu ya Cape Town inayoshiriki Ligi kuu nchini Afrika Kusini #DstvPrem imepata ushindi back to back na kufikisha alama 10 wakiwa nafasi ya 16 kwenye msimamo hii ina boost matumaini ya kupambania kusalia #DstvPrem.

Kwenye mechi hiyo Mlinzi wa kushoto raia wa Tanzania @gardielmichael alitoa pasi ya goli [ assist] ya bao la kwanza

Cape Town 2-0 Galaxy ⚽️Cupido ⚽️Maphathe

View this post on Instagram

A post shared by Gadiel Michael Kamagi (@gardielmichael)

Chanzo: www.tanzaniaweb.live