Michezo

Habari

Burudani

Biashara

Afrika

Live Radio

Nchi

Kijamii

Lifestyle

SIL

Gabriel Jesus kukiosa Colombia

Gabriel Jesus Kuikosa Arsenal Hadi 2023 Mshambuliaji wa klabu ya Arsenal Gabriel Jesus

Thu, 16 Nov 2023 Chanzo: www.tanzaniaweb.live

Gavriel Jesus hatarajiwi kuwa fiti kwa mchezo wa Brazil dhidi ya Colombia lakini inatumainiwa kuwa anaweza kucheza dhidi ya Argentina siku ya Jumanne.

Gavriel Jesus hatarajiwi kuwa fiti kwa mchezo wa Brazil dhidi ya Colombia lakini inatumainiwa kuwa anaweza kucheza dhidi ya Argentina siku ya Jumanne. Brazil kwa sasa wanafanya mazoezi kwenye kambi yao karibu na Rio de Janeiro na Gabriel Jesus ameweza kushiriki katika baadhi ya vipindi vya mazoezi.

Chanzo: www.tanzaniaweb.live