Michezo

Habari

Burudani

Biashara

Afrika

Live Radio

Nchi

Kijamii

Lifestyle

SIL

GSM anamwaga pesa tu

Mashujaa Ngushi GSM anamwaga pesa tu

Mon, 26 Aug 2024 Chanzo: www.tanzaniaweb.live

Huenda waliodhamaniwa na GSM msimu huu wakawa wamevuta mkwanja mrefu sana kuliko wakati mwingine wowote.

Angalia kwa makini hiyo jezi ya Mashujaa FC 1️⃣Kifuani G Boost 2️⃣Kifuani pembeni logo ya GSM 3️⃣Kwenye bukta pajani kushoto GSM 4️⃣Mabango kuzunguka Uwanja

Pamba 1️⃣Kifuani GSM Pure Drink Walter 2️⃣Kifuani pembeni logo GSM 3️⃣Kwenye bukta pajani kushoto GSM 4️⃣Mabango kuzunguka uwanja Wataalam wa masoko wanasema tangazo kifuani na mabango eneo husika ya tukio, mkwanja wake ni mnono zaidi.

Chanzo: www.tanzaniaweb.live