Michezo

Habari

Burudani

Biashara

Afrika

Live Radio

Nchi

Kijamii

Lifestyle

SIL

GOOD NEWS: Aishi Manula aanza tizi rasmi na magolikipa wenzie

Aishi Tizi Rasmi GOOD NEWS: Aishi Manula aanza tizi rasmi na magolikipa wenzie

Tue, 3 Oct 2023 Chanzo: www.tanzaniaweb.live

Huwenda hii ikawa ni habari njema kwa mashabiki wa Simba SC ambao walikuwa na shauku ya kumuona nyanda wao, Aishi Salum Manula anarejea kikosini.

Huwenda hii ikawa ni habari njema kwa mashabiki wa Simba SC ambao walikuwa na shauku ya kumuona nyanda wao, Aishi Salum Manula anarejea kikosini. Simba wametangaza rasmi kipa huyo mzoefu kikosini na namba moja, ameanza mazoezi na wenzake, Ayoub Lakred, Ally Salum na Hussein Abel.

Chanzo: www.tanzaniaweb.live