Michezo

Habari

Burudani

Biashara

Afrika

Live Radio

Nchi

Kijamii

Lifestyle

SIL

Fundi wa boli arejea Msimbazi

Ladack Chasambi Xx.jpeg Ladack Chasambi

Mon, 8 Apr 2024 Chanzo: www.tanzaniaweb.live

Taarifa njema kwa mashabiki wa klabu ya Simba ni juu ya urejeo wa kiungo wao wa Ushambuliaji Kinda Ladack Chasambi.

Ladack ameungana na kikosi cha Simba kilichoondoka siku ya Leo kwenda Kigoma kuvaana na klab ya Mashujaa siku ya Jumatano kwenye Mchezo wa kombe la FA,

Chasambi hakuwa kwenye kikosi cha simba kilicho safiri kwenda Misri kwenye Mchezo wa marudiano wa klab bingwa Afrika dhidi ya Al Ahly.

Chanzo: www.tanzaniaweb.live