Michezo

Habari

Burudani

Biashara

Afrika

Live Radio

Nchi

Kijamii

Lifestyle

SIL

Fundi wa Sauzi aanza kazi Yanga

Sokhwela Sereto.jpeg Sokhwela Sereto

Thu, 18 Jul 2024 Chanzo: www.tanzaniaweb.live

Mwanzilishi mwenda wa kampuni ya Sereto Physio Solution ya nchini Afrika Kusini, Sokhwela Sereto ameanza kazi rasmi Yanga SC.

Sereto alikuwa head of physiotherapy katika chuo kikuu cha Pretoria Nchini Afrika kusini. Chuo hicho pia kina timu ligi daraja la kwanza iitwayo @Matusk.

Mtaalamu huyo wa tiba za viungo na utimamu wa mwili (Physiotherapist) aliajiriwa na klabu ya Yanga kwa mkataba wa miaka (2) siku kadhaa zilizopita.

Chanzo: www.tanzaniaweb.live