Michezo

Habari

Burudani

Biashara

Afrika

Live Radio

Nchi

Kijamii

Lifestyle

SIL

Fundi Juventus arudi, Kocha ashusha pumzi

Pogba Is Back Paul Pogba

Fri, 3 Mar 2023 Chanzo: www.tanzaniaweb.live

Kiungo wa Juventus Paul Pogba, amerejea uwanjani baada ya kukosekana kwa miezi kadhaa kutokana na majeraha yaliyokuwa yanamkabili.

Pogba alijiunga na Juventus mwanzoni mwa msimu huu akitokea Manchester United ambako alidumu kwa miaka mitano.

Licha ya usajili wake hajapata nafasi ya kucheza kutokana na kusumbuliwa na majeraha yaliyomfanya kukosa mpaka Michuano ya Kombe la Dunia iliyofanyoika Qatar.

Aliingia kutokea Benchi kwenye mchezo walioshinda bao 4-2 dhidi ya Torino.

Chanzo: www.tanzaniaweb.live