Michezo

Habari

Burudani

Biashara

Afrika

Live Radio

Nchi

Kijamii

Lifestyle

SIL

Fulham wa moto balaa EPL

Joao Palhinha Fulham Fulham wa moto balaa EPL

Mon, 11 Dec 2023 Chanzo: www.tanzaniaweb.live

Klabu ya Fulham imefunga mabao 3+ katika mechi nne mfululizo za Ligi Kuu England kwa mara ya kwanza tangu Oktoba 1961, ikifunga mabao mengi zaidi (14 katika mechi hizi nne), zaidi ya mara ya mwisho ilipofanya hivyo katika mechi nne mfululizo na kufunga jumla ya mabao 13.

Katika Mechi hizo Fulham imepata ushindi wa;

Fulham 3-2 Wolves

Liverpool 4-3 Fulham

Fulham 5-0 Nottingham

Fulham 5-0 West Ham

Chanzo: www.tanzaniaweb.live