Michezo

Habari

Burudani

Biashara

Afrika

Live Radio

Nchi

Kijamii

Lifestyle

SIL

Fred awagawa viongozi Simba

Freddy Simbaaaa Fred awagawa viongozi Simba

Wed, 5 Jun 2024 Chanzo: www.tanzaniaweb.live

Tetesi zinasema kuwa viongozi wa Klabu ya Simba wamegawanyika kuhusu mitazamo kwenye maamuzi juu ya mshambuliaji wa klabu hiyo Fredy Michael Kouablan raia wa Ivory Coast.

Inaelezwa kuwa baadhi ya viongozi wanadaikuwa nyota huyo asalie Msimbazi Kwa sababu anaonyesha mwanga anaweza kuwa tishio huko mbeleni.

Wakati upande mwingine wanadai kuwa nyota huyo aondokeklabuni hapo kwa sababu klabu hiyo inahitaji washambuliaji walio bora.

Chanzo: www.tanzaniaweb.live