Michezo

Habari

Burudani

Biashara

Afrika

Live Radio

Nchi

Kijamii

Lifestyle

SIL

Frank Leboeuf: Ureno haiwezi kubeba Ubingwa ikiwa na Ronaldo

Pepe With Ronaldooo Frank Leboeuf: Ureno haiwezi kubeba Ubingwa ikiwa na Ronaldo

Tue, 5 Mar 2024 Chanzo: www.tanzaniaweb.live

Nyota wa zamani wa Chelsea na timu ya Taifa ya Ufaransa Frank Leboeuf anaamini kuwa Ureno haitaweza kuchukua Euro 2024 ikiwa na Cristiano Ronaldo.

Leboeuf anasema kama Ureno haitamjumuisha Ronaldo kwenye kikosi chao basi dhahiri wanaweza kuwa washindani wa kombe la Ulaya [Euro 2024].

"Kwangu mimi, Ureno ni miongoni mwa timu zitakazokuwa kwenye nafasi ya ubingwa wa Euro 2024 majira haya ya joto."

"Nafikiri wanaweza kuwa mabingwa wa Euro, lakini kama tu Cristiano Ronaldo hatacheza."

Chanzo: www.tanzaniaweb.live