Michezo

Habari

Burudani

Biashara

Afrika

Live Radio

Nchi

Kijamii

Lifestyle

SIL

Francis Baraza aachana na Polisi ya Kenya

Francis Baraza Kenya Francis Baraza aachana na Polisi ya Kenya

Thu, 28 Sep 2023 Chanzo: www.tanzaniaweb.live

Aliyekuwa kocha Mkuu wa klabu ya Polisi ya Kenya, Fransis Baraza amefikia maamuzi ya kuachana na klabu hiyo kutokana na matatizo yake ya kiafya

Baraza ambaye alijiunga na klabu ya Polisi kenya Msimu uliopita katika kipindi cha dirisha dogo la usajili ambapo aliikuta klabu hiyo ikiwa katika nafasi ya 4 kutoka mwisho na kuiwezesha kupanda hadi nafasi ya 4 ya Juu ya Msimamo wa ligi kuu ya Kenya.

Msimu huu Fransis Baraza hakufanikiwa kuwa sehemu ya Benchi la Ufundi la klab hiyo kwa kuwa kipindi chote cha Pre season alikuwa akiuguza Jeraha la Mguu na badala yake kikosi hicho kilikuwa chini ya kocha wao msaidizi Salim Babu ambacho kimeshacheza Michezo 4 Mpaka sasa.

Chanzo: www.tanzaniaweb.live