Michezo

Habari

Burudani

Biashara

Afrika

Live Radio

Nchi

Kijamii

Lifestyle

SIL

Francesco Camarda aingia kwenye vitabu vya rekodi Serie A

Francesco Camarda Francesco Camarda

Mon, 27 Nov 2023 Chanzo: www.tanzaniaweb.live

Pichani ni Francesco Camarda ambaye amezaliwa 10/03/2008.

Jana ameweka rekodi katika klabu ya AC Milan katika mchezo dhidi ya Fiorentina ya kuwa mchezaji mdogo zaidi kuichezea Ac Milan akiwa na miaka 15 na siku 260.

Mara ya mwisho mchezaji mwenye umri mdogo kuichezea AC Milan ni Gigi Donnaruma mwaka 2016 akicheza na umri wa miaka 16 dhidi ya Sassuolo.

Chanzo: www.tanzaniaweb.live