Michezo

Habari

Burudani

Biashara

Afrika

Live Radio

Nchi

Kijamii

Lifestyle

SIL

Fountain Gate yafanya mabadiliko haya

FGA Talents Fountain Gate yafanya mabadiliko haya

Tue, 12 Dec 2023 Chanzo: www.tanzaniaweb.live

Uongozi wa juu wa klabu ya Fountain Gate inayoshiriki Championship umefanya mabadiliko kwa kuachana na waliokuwa wakufunzi wao Athuman Cairo na Msaidizi wake Boniphace Kiwale,

Uongozi wa juu wa klabu ya Fountain Gate inayoshiriki Championship umefanya mabadiliko kwa kuachana na waliokuwa wakufunzi wao Athuman Cairo na Msaidizi wake Boniphace Kiwale, Pia Uongozi wa klab ya Fga Umemteua Bwana Mohamed Kambi kuwa Afisa Mtendaji Mkuu wa klab hiyo.

Chanzo: www.tanzaniaweb.live