Michezo

Habari

Burudani

Biashara

Afrika

Live Radio

Nchi

Kijamii

Lifestyle

SIL

Fountain Gate kwenda Sauzi

Fountain Gate Princesss Fountain Gate kwenda Sauzi

Thu, 30 Mar 2023 Chanzo: www.tanzaniaweb.live

Timu va Wasichana ya Shule ya Fountain Gate chini ya umri wa miaka 15, inatarajiwa kuondoka nchini Aprili Pili kuelekea Afrika Kusini kwa aili ya Mashindano ya Ligi ya Mabingwa Afrika kwa shule za Sekondari.

Timu va Wasichana ya Shule ya Fountain Gate chini ya umri wa miaka 15, inatarajiwa kuondoka nchini Aprili Pili kuelekea Afrika Kusini kwa aili ya Mashindano ya Ligi ya Mabingwa Afrika kwa shule za Sekondari. Fountain Gate inakwenda katika Mashindajo hayo baada ya kufanikiwa kuwa Mabingwa wa Ukanda wa CECAFA kwa shule za Sekondari kwenye mashindano yaliyofanyika mwezi Febuari mwaka huu katika Viwanja vya Chamazi.

Chanzo: www.tanzaniaweb.live