Michezo

Habari

Burudani

Biashara

Afrika

Live Radio

Nchi

Kijamii

Lifestyle

SIL

Folz Kocha mpya wa Amazulu

Ergyrj Folz Kocha mpya wa Amazulu

Tue, 11 Oct 2022 Chanzo: www.tanzaniaweb.live

Klabu ya AmaZulu ya Afrika Kusini imemteua Romain Folz kuwa Kocha mkuu mpya wa klabu hiyo akichukua nafasi ya Brandon Truter aliyefutwa kazi kutokana na mwenendo wa matokeo mbaya.

Kocha huyo raia wa Ufaransa mwenye umri wa miaka 32 alikuwa anainoa Klabu ya Marumo Gallants FC ya nchini humo, ambapo katika msimu huu 2022/23 ameiongoza timu hiyo katika mechi 8, akipata sare 6 na kupoteza mechi 2.

Folz atainoa AmaZulu mpaka mwisho wa msimu huu akisaidiwa na Ayanda Dlamini, utakumbuka kuwa Dlamini alikuwa kocha mkuu wa AmaZulu FC kabla ya kuwasili kwa Benni McCarthy mnamo Disemba 2020.

Chanzo: www.tanzaniaweb.live