Michezo

Habari

Burudani

Biashara

Afrika

Live Radio

Nchi

Kijamii

Lifestyle

SIL

Foden Mchezaji Bora wa Msimu EPL

Phil Foden Winner Phil Foden

Sat, 18 May 2024 Chanzo: Mwanaspoti

Kiungo mshambuliaji wa klabu ya Manchster City, Phil Foden ameshinda tuzo ya Mchezaji Bora wa msimu wa Ligi Kuu ya England kwa msimu wa 2023/2024 baada ya kufunga magoli 17 na kusaidia (assist) mengine 8 kwenye Ligi hiyo msimu huu.

Foden anakuwa mchezaji wa tano wa Man City kutwaa tuzo hiyo kwa msimu wa tano mfululizo kuanzia msimu wa 2019/20.

Washindi wa Tuzo ya mchezaji bora wa msimu kwa misimu mitano iliyopita

2019/20, Kevin De Bruyne

2020/21, Ruben Dias

2021/22, Kevin De Bruyne

2022/23, Erling Haaland

2023/24, Phil Foden

Chanzo: Mwanaspoti