Michezo

Habari

Burudani

Biashara

Afrika

Live Radio

Nchi

Kijamii

Lifestyle

SIL

Fluminense: Hakuna mchezaji Bora kumzidi Messi

Fluminense: Hakuna Mchezaji Bora Kumzidi Messi Fluminense: Hakuna mchezaji Bora kumzidi Messi

Mon, 25 Dec 2023 Chanzo: www.tanzaniaweb.live

Kiungo wa Fluminense ya Brazil na mchezaji wa zamani wa timu ya Taifa ya Brazil Felipe Melo akielezea kiwango cha Messi na picha ya mchezaji huyo ambayo ipo nyumbani kwake.

“Nyumbani kwangu kuna picha kubwa ya Messi ,ni ukumbusho kwa watoto na wajukuu kwamba nimewahi kucheza na mchezaji huyu bora kuwahi kutokea Duniani”

“Ni mchezaji bora zaidi kuwai kukutana nae na wabrazil wengi tunampenda ni kiigizo cha dunia nzima”

“Sijawahi kuona mchezaji bora kumzidi Messi,asipofunga magoli matatu basi atatengeneza magoli matatu na hiyi ndio sababu watu wanapenda kucheza timu moja na Messi”

Chanzo: www.tanzaniaweb.live