Michezo

Habari

Burudani

Biashara

Afrika

Live Radio

Nchi

Kijamii

Lifestyle

SIL

Fiston ajiapiza kukiwasha

Fiston Pic Data Fiston ajiapiza kukiwasha

Wed, 17 Feb 2021 Chanzo: mwanaspoti.co.tz

By Clezencia TryphoneMore by this Author Kuna mchezaji mmoja tu ambaye mashabiki wa Yanga wanasubiri kushangilia bao lake la kwanza kwenye mechi za mashindano. Huyu unayemuona hapo. Fiston Abdul Razaq. Mwenzie waliyetoka nae nchi moja Saido Ntibanzokiza ameshatupia na Yanga wanamkubali kinoma. Wawili hawa wamekuwa na historia nzuri za utikisaji nyavu kutoka katika klabu mbalimbali ambazo wamezitumikia kabla ya kutua Yanga katika dirisha dogo la usajili msimu huu.

Safu ya Yanga ilikuwa na changamoto kubwa ya upachikaji wa mabao licha ya Yanga kupata pointi tatu katika michezo yake lakini safu hiyo ilikosa nafasi nyingi za kufunga katika michezo yake.

Ilipelekea aliyekuwa Kocha wa Klabu hiyo Cedrick Kaze kupata wakati mgumu katika upangaji wa kikosi chake.

NAMNA ALIVYOTUA

Chanzo: mwanaspoti.co.tz