Michezo

Habari

Burudani

Biashara

Afrika

Live Radio

Nchi

Kijamii

Lifestyle

SIL

Fiorentina wamweka sokoni Amrabat

Sofyan Amrabat To Atletico Kiungo wa Fiorentina na Timu ya Taifa ya Morocco, Sofyan Amrabat.

Sun, 9 Apr 2023 Chanzo: www.tanzaniaweb.live

Wakala wa Sofyan Amrabat anasema klabu yake Fiorentina iko tayari kusikiliza ofa msimu huu na kwamba Manchester United ilitoa ofa kwa kiungo huyo wa Morocco, 26, mwezi Januari.

Wakala wa Sofyan Amrabat anasema klabu yake Fiorentina iko tayari kusikiliza ofa msimu huu na kwamba Manchester United ilitoa ofa kwa kiungo huyo wa Morocco, 26, mwezi Januari. Amrabat anawindwa na vialabu vingi Barani Ulaya baada ya kung'ara na timu ya Taifa ya Morocco katika Michuano ya Kombe la Dunia 2022 iliyofanyika Qatar.

Chanzo: www.tanzaniaweb.live