Michezo

Habari

Burudani

Biashara

Afrika

Live Radio

Nchi

Kijamii

Lifestyle

SIL

Fikirini Bakari afungiwa kwa kumpiga mtoto mwokota mipira

Fikirini Fikirini Bakari afungiwa kwa kumpiga mtoto mwokota mipira

Fri, 15 Dec 2023 Chanzo: www.tanzaniaweb.live

Mlinda lango wa Ihefu FC, Fikirini Bakari amefungiwa michezo mitatu na kutozwa faini ya shilingi milioni moja kwa kosa la kumpiga kwa makusudi mtoto muokota mipira (ball kid) kwa kutumia mpira.

Mlinda lango wa Ihefu FC, Fikirini Bakari amefungiwa michezo mitatu na kutozwa faini ya shilingi milioni moja kwa kosa la kumpiga kwa makusudi mtoto muokota mipira (ball kid) kwa kutumia mpira. Kitendo hicho kilitokea kwenye uwanja wa Majaliwa mkoani Lindi wakati Ihefu ikicheza na Namungo FC.

Chanzo: www.tanzaniaweb.live