Michezo

Habari

Burudani

Biashara

Afrika

Live Radio

Nchi

Kijamii

Lifestyle

SIL

Fernando Santos atimuliwa Poland

Fernando Santos Sacked Fernando Santos

Tue, 12 Sep 2023 Chanzo: www.tanzaniaweb.live

Kocha wa zamani wa timu ya Taifa Ureno, Fernando Santos ambaye alikosolewa vikali kwa kumweka benchi Cristiano Ronaldo kwenye fainali za kombe la Dunia 2022 amefutwa kazi kama kocha mkuu ya timu ya Taifa ya Poland.

Santos (68) raia wa Ureno ametupiwa virago baada ya mwenendo usioridhisha wa timu hiyo ambayo ameiongoza kwenye mechi 6, ushindi mara tatu na vipigo vitatu.

Poland ambayo ipo nafasi ya nne kwenye kundi G la michuano ya kufuzu EURO 2024 itakuwa chini ya mkufunzi Michal Probierz kama kocha wa muda.

Chanzo: www.tanzaniaweb.live