Michezo

Habari

Burudani

Biashara

Afrika

Live Radio

Nchi

Kijamii

Lifestyle

SIL

Ferguson kufuata nyayo za Ferguson AS Roma

De Rossi.png Daniele De Ross

Thu, 7 Mar 2024 Chanzo: www.tanzaniaweb.live

Nyota wa zamani wa klabu ya AS Roma Boniek anaamini kuwa kama klabu hiyo itaendelea kumuamini kocha wa mpito wa klabu hiyo Daniele De Ross basi anaweza kufanya makubwa kama aliyofanya Sir Alex Ferguson.

Kiungo huyo wa zamani wa klabu ya AS Roma anapokea sifa nyingi kwa kuibadilisha sana Roma na sasa ni miongoni mwa timu zinazowania nafasi ya kucheza UEFA msimu ujao.

"De Ross ana kila kitu cha kuwa kocha mkubwa."

"Ana akili, yupo vizuri, na anaongea vizuri na wachezaji wake."

"Ni wazi kwamba bingwa kama yeye anastahili kushinda, natumaini atakuwa Ferguson wa As Roma."

AS Roma hadi hivi sasa imeshinda michezo minne (4) kati ya mtano (5) ya mwisho na itakutana na Brighton ambayo imeshinda mchezo mmoja (1) tu kati ya mitano [5] ya mwisho.

Chanzo: www.tanzaniaweb.live