Michezo

Habari

Burudani

Biashara

Afrika

Live Radio

Nchi

Kijamii

Lifestyle

SIL

Ferguson: Guardiola ni Kiboko yao

GUARDIOLA FERGIE Ferguson ampa maua yake Pep Guardiola

Wed, 31 May 2023 Chanzo: www.tanzaniaweb.live

Kocha Pep Guardiola ameshinda Tuzo mbili usiku wa kuamkia leo, moja ya Kocha Bora wa Msimu EPL, na nyingine ya Meneja Bora wa Mwaka ambayo hutolewa na Chama cha Makocha nchini England.

Kocha Pep Guardiola ameshinda Tuzo mbili usiku wa kuamkia leo, moja ya Kocha Bora wa Msimu EPL, na nyingine ya Meneja Bora wa Mwaka ambayo hutolewa na Chama cha Makocha nchini England. Sir Alex Ferguson ndiye alimkabidhi Pep Tuzo hiyo na kumsifia kwa mafanikio yake msimu huu ikiwemo kubeba Taji la EPL, kuingia fainali mbili; UEFA CL na FA Cup.

Chanzo: www.tanzaniaweb.live