Michezo

Habari

Burudani

Biashara

Afrika

Live Radio

Nchi

Kijamii

Lifestyle

SIL

Fenerbahce yatoa timu uwanjani dakika ya 50

Fenerbahce Yatoa Timu Uwanjani Dakika Ya 50 Fenerbahce yatoa timu uwanjani dakika ya 50

Mon, 8 Apr 2024 Chanzo: www.tanzaniaweb.live

Fenerbahce ilianzisha wachezaji wake wa U-19, sekunde ya 50 ya mchezo Galatasaray ikapata bao ,baada ya goli wachezaji wa Fenerbahce wakatoka uwanjani Galatasaray kutawazwa Mabingwa wa kombe hilo

Baada ya hapo Galatasaray ikaingiza wachezaji wao wa akiba wanakipiga kama mazoezi

Huu ni ujumbe wa Fenerbahce kwa Shirikisho lao TFF kufuatia sintofahamu iliyotokea kwenye mchezo wao wa nyuma ,shabiki kuvamia uwanja na kupiga wachezaji

Msimamo wao ni haki itendeke laasivyo watajitoa kwenye Ligi kuu Uturuki na mashindano yote.

Chanzo: www.tanzaniaweb.live