Michezo

Habari

Burudani

Biashara

Afrika

Live Radio

Nchi

Kijamii

Lifestyle

SIL

Fenerbahce kumlipa Mourinho Bilioni 29 kwa Mwaka

Fenerbahce Mourinho.jpeg Fenerbahce kumlipa Mourinho Bilioni 29 kwa Mwaka

Thu, 6 Jun 2024 Chanzo: www.tanzaniaweb.live

Fenerbahce wamethibitisha kuwa meneja mpya wa klabu yao, Jose Mourinho, atalipwa mshahara wa Euro milioni 10.5 (Bilioni 29 za kitanzania) kwa mwaka.

Fenerbahce wamethibitisha kuwa meneja mpya wa klabu yao, Jose Mourinho, atalipwa mshahara wa Euro milioni 10.5 (Bilioni 29 za kitanzania) kwa mwaka. Klabu hiyo ilifichua hayo jana ikiwa ni siku ya tatu tangu kutambulishwa kwake rasmi.

Chanzo: www.tanzaniaweb.live