Michezo

Habari

Burudani

Biashara

Afrika

Live Radio

Nchi

Kijamii

Lifestyle

SIL

Feisal tatizo ni kiwango au haendani na mbinu za Kocha?

Fei Toto Srsa Kiungo wa Azam FC, Feisal Salum "Fei Toto"

Sat, 14 Oct 2023 Chanzo: www.tanzaniaweb.live

Kwa mara nyingine tena nyota wa klabu ya Azam FC Feisal Salum amekosekana kwenye kikosi cha timu ya Taifa kinachoenda kumenyana na Sudan huko Saudi Arabia chini ya kocha Amrouche.

Wengi wameshangazwa na jambo hilo kwani kiungo huyo kwa sasa anaonekana kufanya vyema akiwa na klabu yake ya Azam FC.

Unadhani sababu ni nini, kiwango au haendani na mbinu za kocha ?.Tupe maoni yako

Chanzo: www.tanzaniaweb.live