Michezo

Habari

Burudani

Biashara

Afrika

Live Radio

Nchi

Kijamii

Lifestyle

SIL

Feisal mambo magumu Yanga

Feisal Salum Fei Toto Feisal mambo magumu Yanga

Mon, 28 Nov 2022 Chanzo: www.tanzaniaweb.live

Kocha Msaidizi wa Yanga, Cedric Kaze ameweka wazi kuwa timu hiyo itamkosa kiungo Feisal Salum kwenye mchezo wao dhidi ya Ihefu hapo kesho na majeruhi yanayomsumbua nyota huyo.

Kocha Msaidizi wa Yanga, Cedric Kaze ameweka wazi kuwa timu hiyo itamkosa kiungo Feisal Salum kwenye mchezo wao dhidi ya Ihefu hapo kesho na majeruhi yanayomsumbua nyota huyo. Fei Toto alipata majeraha kwenye mchezo wao dhidi ya Dodoma Jiji uliochezwa kwenye uwanja wa Liti huko mkoani Singida wiki iliyopita, majeraha ambayo yalimfanya nyota huyo kushindwa kumaliza mchezo.

Chanzo: www.tanzaniaweb.live