Michezo

Habari

Burudani

Biashara

Afrika

Live Radio

Nchi

Kijamii

Lifestyle

SIL

Feisal aangua kicheko ishu ya kuhamia Simba SC

Feisal Aangua Kicheko Ishu Ya Kuhamia Simba SC Feisal aangua kicheko ishu ya kuhamia Simba SC

Fri, 8 Dec 2023 Chanzo: www.tanzaniaweb.live

Kiungo mshambuliaji wa Azam FC, ameangua kicheko cha kiaina baada ya kuulizwa kuwa amekwenda Azam kama njia ya kupita kuelekea Simba SC.

Feisal aliulizwa swali hilo hapo jana mara baada ya timu yake kuibuka na ushindi wa gli 5-0 dhidi ya KMC katika uwanja wao wa nyumbani wa Azam Complex Chamazi jijini Dar.

"Aaaahhaha tusiliongelee suala hilo bwana," alicha Feisal.

Chanzo: www.tanzaniaweb.live