Michezo

Habari

Burudani

Biashara

Afrika

Live Radio

Nchi

Kijamii

Lifestyle

SIL

Fei Toto ndiye mchezaji wa kwanza Yanga kuifunga KMC

Feisal Salum Fei Toto Malengo Fei Toto

Fri, 28 Oct 2022 Chanzo: www.tanzaniaweb.live

fahamu: Mchezaji wa kwanza wa Young Africans SC kuifunga KMC FC bao kwa mara ya kwanza kabisa tangu ilipopanda daraja na kuingia Ligi Kuu ni Feisal Salum 'Fei Toto'.

Fei aliifunga KMC Oktoba 25, mwaka 2018 ambapo alipiga mpira wa adhabu baada ya Heritier Ebenezer Makambo kufanyiwa madhambi na mchezaji wa KMC.

Bao lake la juzi, Oktoba 26, 2022 ni bao la tatu la Feisal dhidi ya Wakusanya Kodi hao wa Kinondoni KMC FC.

Chanzo: www.tanzaniaweb.live