Michezo

Habari

Burudani

Biashara

Afrika

Live Radio

Nchi

Kijamii

Lifestyle

SIL

Fei Toto kwenye ukurasa wa Aziz Ki

Stepahne Aziz KI Ahadi Aziz KI

Wed, 22 May 2024 Chanzo: www.tanzaniaweb.live

Mchezaji mwenye mchango mkubwa zaidi klabu ya Yanga SC msimu huu Aziz Ki mwenye magoli 15 na asissts 8 kwenye Ligi Kuu ya NBC ambaye pia anahusishwa na kuondoka klabuni hapo, kupitia mtandao wa Instagram amemhakikishia shabiki kuwa maelekezo ya kufunga zaidi ya goli moja ameyazingatia kwa 5/5.

Shabiki ame-comment kwenye ukurasa wa Azizi akimtaka kuhakikisha anafunga magoli mengi zaidi kwenye mchezo wa leo ambapo Yanga SC itacheza na Dodoma Jiji.

Baada ya post hiyo, kiungo mshambuliaji wa Azam FC, Feisal Salum 'Fei Toto' alikwenda na ku-like ujumbe ule kwenye ukurasa rasmi wa Instagram wa Aziz KI.

Ki Azizi anaingia uwanjani huku mshindani wake Feisal Salum akiwa na magoli 16 na assists 7 baada ya kufunga bao moja jana kwenye mchezo dhidi ya JKT ambapo Azam waliibuka na ushindi wa bao 2-0.

Chanzo: www.tanzaniaweb.live