Michezo

Habari

Burudani

Biashara

Afrika

Live Radio

Nchi

Kijamii

Lifestyle

SIL

Fei Toto aweka rekodi tamu Azam FC

Fei Toto Vs Coast Kiungo wa Azam FC, Feisal Salum "Fei Toto"

Mon, 27 Nov 2023 Chanzo: www.tanzaniaweb.live

Takwimu za Kiungo wa Azam FC, Feisal Salum "Fei Toto" tangu ajiunge na Azam FC zinamuonesha kuwa ni mmoja wa wachezaji wenye matokeo makubwa katika kikosi cha mwalimu Dab.

Takwimu za Fei akiwa Azam kwa mechi za Ligi Kuu;

Mechi 10

Mabao 6

Assists 4

Hat Trick 1

Kwenye Magoli 24 yaliyofungwa na Azam FC msimu huu ndani ya Ligi, Fei Toto amechangia magoli 10.

Chanzo: www.tanzaniaweb.live