Michezo

Habari

Burudani

Biashara

Afrika

Live Radio

Nchi

Kijamii

Lifestyle

SIL

Fei Toto ameianzisha safari ya ukombozi wa maslahi ya wazawa

Feisal Salum Fei Toto Malengo Fei Toto ameianzisha safari ya ukombozi wa maslahi ya wazawa

Mon, 26 Dec 2022 Chanzo: www.tanzaniaweb.live

Kutoka kwa mchambuzi nguli wa soka nchini, Shaffih Dauda, amefunguk kuhusu sakata la kiungo mshambuliaji wa Yanga, Feisal Salum Abdallah 'Fei Toto' ambaye ameshaomba kuondoka Yanga.

Suala la Feisal ndio mwanzo wa ukombozi wa maslahi ya wazawa, watawapa nafasi watalaam sahihi wa sheria, watahitaji washauri wazuri na Mameneja bora, ndipo maslahi yatapatikana.

Feisal ameianzisha safari ya kuifikia nchi ya ahadi.

Chanzo: www.tanzaniaweb.live