Michezo

Habari

Burudani

Biashara

Afrika

Live Radio

Nchi

Kijamii

Lifestyle

SIL

Fei Toto afuta utambulisho wa Yanga

Fei Toto Kirumba Fei Toto

Sun, 25 Dec 2022 Chanzo: www.tanzaniaweb.live

Mchezaji nyota wa Yanga Feisal Salum Abdallah #FeiToto ambae amekua akihusishwa kujiunga na klabu ya Azam Fc ,amefuta utambulisho wa kuwa mchezaji wa Yanga sc kwenye bio yake katika mtandao wa instagram.

Awali mchezaji huyo alojitambulisha kama mchezaji wa klabu ya @yangasc na timu ya taifa ya Tanzania, kabla ya kuondosha utambulisho huo na kuacha utambulisho wa kuwa mchezaji wa timu ya taifa pekee.

Chanzo: www.tanzaniaweb.live