Michezo

Habari

Burudani

Biashara

Afrika

Live Radio

Nchi

Kijamii

Lifestyle

SIL

Fei Toto afunguka jezi yake kupewa Skudu

Fei X Skudu Fei Toto afunguka jezi yake kupewa Skudu

Wed, 4 Oct 2023 Chanzo: www.tanzaniaweb.live

Baada ya Fei toto kuondoka Yanga jezi yake namba sita ilitua kwa Msauzi Mahalatse Makudubela 'Skudu' na jamaa anasema wala hawaingilii na anakumbali aliyepewa.

Baada ya Fei toto kuondoka Yanga jezi yake namba sita ilitua kwa Msauzi Mahalatse Makudubela 'Skudu' na jamaa anasema wala hawaingilii na anakumbali aliyepewa. "Siwezi kuwaingilia maamuzi yao unajua mimi sasa niko huku Azam, aliyepewa jezi ile mimi namtakia kila la kheri na uzuri aliyepewa ile jezi ni Skudu ni rafiki yangu pia nilimjua kupitia Bernard Morrison na hata alipokuja hapa nilikutana naye siku moja uwanja wa ndege tuliongea vizuri na nikamkaribisha nchini na namtakia kila la kheri apambane tu kufanya mazuri kushinda niliyoyafanya mimi,”

Chanzo: www.tanzaniaweb.live
Related Articles: