Michezo

Habari

Burudani

Biashara

Afrika

Live Radio

Nchi

Kijamii

Lifestyle

SIL

Fei Toto afikisha magoli saba, vita ya mabao yanoga!

Fei Toto Afikisha Magoli Saba, Vita Ya Mabao Yanoga!.jpeg Fei Toto afikisha magoli saba, vita ya mabao yanoga!

Fri, 8 Dec 2023 Chanzo: www.tanzaniaweb.live

Kiungo mshambuliaji wa Azam FC, Feisal Salum 'Fei Toto' amefikisha magoli saba kwenye Ligi Kuu ya NBC 2023-24.

Fei amefikisha idadi hiyo baada ya kufunga goli jana Desemba 7, 2023 dhidi ya KMC wakati timu yake ikiibuka na ushindi wa 5-0.

Fei sasa analingana na Aziz Ki wa Yanga SC, Jean Baleke wa Simba na Max Nzengeli wa Yanga.

Chanzo: www.tanzaniaweb.live