Michezo

Habari

Burudani

Biashara

Afrika

Live Radio

Nchi

Kijamii

Lifestyle

SIL

Fei Toto: Yanga waje kwa kutuheshimu, vinginevyo tutaaumiza

Fei Toto Afikisha Magoli Saba, Vita Ya Mabao Yanoga!.jpeg Fei Toto: Yanga waje kwa kutuheshimu, vinginevyo tutaaumiza

Sat, 1 Jun 2024 Chanzo: www.tanzaniaweb.live

Kiungo wa Azam FC, Feisal Salum amesema wataingia uwanjani kwa kuiheshimu Yanga huku akiwataka Yanga nao kuwaheshimu Azam FC.

“Tunawaheshimu sana Yanga na wao waje kwa kutuheshimu, wakifanya makosa tutawaadhibu”.

Feisal amefurahi fainali kuletwa nyumbani na anaitumia kama fursa ya kuongeza hamasa ya upambanaji kwa wachezaji wenzake wa Azam FC.

Chanzo: www.tanzaniaweb.live