Michezo

Habari

Burudani

Biashara

Afrika

Live Radio

Nchi

Kijamii

Lifestyle

SIL

Fei Toto: Tupo tayari kulipigania Taifa

Stars Erd.jpeg Fei Toto: Tupo tayari kulipigania Taifa

Tue, 21 Mar 2023 Chanzo: www.tanzaniaweb.live

Kiungo mshambuliaji wa Klabu ya Yanga na Timu ya Taifa ya Tanzania 'Taifa Stars', Feisal Salum Abdallah 'Fei Toto' amesema kuwa wamejiandaa vizuri kuwakabili Uganda katika mchezo wa kuwania kufuzu AFCON 2023.

Kiungo mshambuliaji wa Klabu ya Yanga na Timu ya Taifa ya Tanzania 'Taifa Stars', Feisal Salum Abdallah 'Fei Toto' amesema kuwa wamejiandaa vizuri kuwakabili Uganda katika mchezo wa kuwania kufuzu AFCON 2023. "Kweli kuna wachezaji wapya na mwalimu mpya ila Uganda tunawaheshimu ni timu nzuri ina wachezaji wazuri, ila tutaipambania Taifa Stars ili tupatematokeo," amesema Fei Toto.

Chanzo: www.tanzaniaweb.live