Michezo

Habari

Burudani

Biashara

Afrika

Live Radio

Nchi

Kijamii

Lifestyle

SIL

Fei Toto: Fainali na Yanga itakuwa ngumu

Feisal Salum Fei Toto Msamah Fei Toto: Fainali na Yanga itakuwa ngumu

Thu, 30 May 2024 Chanzo: www.tanzaniaweb.live

Kiungo mshambuliaji wa Azam FC, Feisal Salum Abdallah 'Fei Toto' amesema Fainali yao na Yanga itakuwa ngumu kutokana na ubora wa vikosi vyote viwili.

Fei amesema hayo leo wakati Kikosi cha Azam FC kikiondoka Dar es Salaam kuelekea Zanzibar kwa ajili ya fainali ya Kombe la Shirikisho la CRDB ambayo itapigwa Jumapili, Juni 2, 2024 dhidi ya Yanga SC.

“Hakuna fainali rahisi, fainali ni ngumu, sisi kama wachezaji tutakwenda kupambana kuchukua hili taji, tutakwenda kufuata maelekezo ya mwalimu kupambana zaidi kupata matokeo,” amesema Fei Toto.

Chanzo: www.tanzaniaweb.live