Michezo

Habari

Burudani

Biashara

Afrika

Live Radio

Nchi

Kijamii

Lifestyle

SIL

Fede Valverde na Aurelien Tchouamen watolewa kafara Real Madrid

Montaje De Dos Imagenes De Archivo De Fede Valverde Y Aurelien Tchouameni  Afp Efe Fede Valverde na Aurelien Tchouamen

Sun, 16 Jul 2023 Chanzo: www.tanzaniaweb.live

Fede Valverde na Aurelien Tchouamen wanaweza kuuzwa na Real Madrid ili ipatikane nafasi ya kusajiliwa Kylian Mbappe..

Madrid walikua na mpango wa kumsajili Mbappe kama mchezaji huru mwaka 2024 lakini mpango huenda ukabadilika na ikiwa Mbappe hata refusha mkataba wake na PSG, PSG wana weza kuumuza kwa Euro milioni200..

Baadhi ya timu za Premier league zime onesha kuwahitaji Valverde na Tchouamen na Madrid watahitaji pauni milioni85 kwa kila mmoja..

Chanzo: www.tanzaniaweb.live