Michezo

Habari

Burudani

Biashara

Afrika

Live Radio

Nchi

Kijamii

Lifestyle

SIL

Februari 3 za Maisha ya Sebastian Haller

SPORT PREVIEW Sebastien Haller H Februari 3 za Maisha ya Sebastian Haller

Mon, 12 Feb 2024 Chanzo: www.tanzaniaweb.live

Baada ya game ya jana kumalizika mwandishi wa habari bingwa kabisa ulimwenguni Fabriziorom anatumia paragraph tatu kuelezea mwezi February kwa kutumia maisha ya Sebastian Haller .

February 2022 alikutwa na cancer na kufanyiwa diagnosis [ Hii ni moja ya matibabu wanayopatiwa wagonjwa wa cancer]

February 2023 Haller anasimama tena na kurudi uwanjani na kuanza kuitumikia Klabu yake ya Borusia Dortmund [ Ikumbukwe Haller alisajiliwa na Dortmund akitokea Ajax baada ya kufanya vizuri kwenye msimu wa 2021/22 ]

February 2024 ,Haller anafunga magoli mawili muhimu kwa Taifa lake moja hatua ya Nusu Fainali na jana pia kwenye Fainali alifunga bao la ushindi.

Chanzo: www.tanzaniaweb.live